| washirika wa kanisa la Revival Glory Center wakisikiliza kwa makini neno la Mungu lililo kuwa likitolewa na pastor Dennise |
| mchungaji Glen na mchungaji kiongozi wa kanisa la Revival Glory Center wakiwa madhabahuni wakihubiri neno la Mungu siku ya jumapili. |
| Mchungaji kiongozi John chambo (kulia) na mchungaji Glen alipo wahudumia washirika neno la mungu jumapili hii katika semina ilio kua ikiendelea katika kanisa la E.A.G.(T)Revival glory center. |
No comments:
Post a Comment