Wednesday, August 1, 2012

Ni wiki nyingine ya baraka katika mwezi huu wa nane...

Kanisa la E.A.G.(T) Revival glory center linatarajia kupokea wageni kutoka marekani katika mwezi huu wa nane.Wageni hao wanatarajia kuwasilui hapa nchini mnamo tarehe 4/8/2012 .
wakiwa katika maandalizi ya ujio wa wageni hao,mchungaj wa kanisa hilo amesema,wageni watakao wasili jumamosi hiyo ya tarehe 4 ni paster Glen na mkewe.
Aliendelea kusema kuwa wageni watapewa nafasi ya kulihudumia kanisa yani semina ya siku nne.pastor Glen na mkewe wanatakua nchini kwa siku 10 tu.Hizi ni baraka za upendeleo kwa kanisa la Revival Glory Center. .

No comments: